3 John 14

14 aBadala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana.

Amani iwe kwako. Rafiki zetu walioko hapa wanakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu walioko huko, kila mmoja kwa jina lake.
Copyright information for SwhKC